Saturday, December 29, 2012

hmji usiokuwa na wanaume

 serikali ya nchini saudi arabia inatarajia kugharimu zaidi ya dola miliono133 kwa aajili kujenga mji ambao hautakuwa na wnaume ambao unategemewa kuwa naviwanda vya aina mbalimbali ambvyo vitaendeshwa na wanawake ambo wankisiwa watakuwa si chini ya 5000

yess huyu ndiye waziri aliye cheza picha za ngono nchini costa ricca

  yesssss  waziri huyu wa habari utamaduni na michezo aitwaeKARINA BORRANOS  amepoteza kibarua chake baada ya rais  RAULA CHINCHILLA kumtimua kazi

huyu ndiye MANDL MANDELA mjukuu wa mandela aliye pewa mimba na kaka yake


huyo ndiye mr GILBETTO ARAUJO wa huko nchini blazili aliyejitangazia amekufa kisha kuhudhuria manzishi yake mwenyewe


huyo ndiye mwanadada alia mahdi aliposimama mbele ya ubalozi w amisri mjini stockhorm nchini sweden kupinga katiba mpya ya misri ina wazalilisha wanawwake


hapa maiti zanapiga mzigo kama kawaida bhana hakuna kufa haya ndiyo yanayotokea huko